Skin Care
Welcome
Filter
There are 7 products
Showing 1 - 7 of 7 item(s)
Regular price $3.50
In stock
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Wild-Harvesed Seaweed Soap imeungwa na unga asilia wa Mwani (Seaweed) uliyovunwa kwa mkono na vikundi vya kina mama Zanzibar, na ni 100% Asilia iliyotengenezwa kwa mkono. Unaponunua bidhaa hii ya Mwa...
Regular price $10.40
In stock
Quality products from Livanaa Trades
Regular price $3.50
In stock
Anza siku yako kwa marashi ya Karafuu yaliyomo kwenye sabuni ya kuoga ya LuvTouch Zanzibar Clove Soap. Karafuu imetumika karne nyingi zilizopita, ina faida nyingi za tiba kwa afya na ngozi, ndiyo sababu ni maarufu katika uwanja...
Regular price $7.00
In stock
Tumia mafuta ya kukuza nywele ya LuvTouch Hair Growth Oil yaliyosheheni aina Saba (7) ya mafuta ya asili yanayosaidia kukuzana na kutunza nywele zako ziwe zenye afya na mvuto. Nywele safi, zisizokuwa kavu, zisizokacha na tena z...
Regular price $3.50
In stock
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Coconut Soap imetengenezwa kwa kutumia mafuta ya nazi asilia (Virgin Coconut Oil - VCO). Sabuni hii imesheheni ndani yake mafuta ya nazi ya asili ambayo yana utajiri wa protini na ni nzuri kwa ngozi ...
Regular price $3.50
In stock
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Manjano imeungwa na unga asilia wa Manjano (Turmeric) na inafaa sana kwanza aina zote. Sabuni ya Zanzibar Manjano hukinga ngozi yako na bakteria zinazo sababisha kupatwa na chunusi na pia husaidia ku...
Regular price $3.50
In stock
Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Organic Zanzibar Black Soap imeungwa na mkaa wa kifuu cha nazi, karafuu na mdalizasini zinazolimwa Zanzibar.Β  Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Zanzibar, ni sabuni ya asili kama yote! Imetengenezwa kwa mkono n...