Ga direct naar productinformatie
1 van 4

LuvTouch Wild-Harvested Seaweed Soap

LuvTouch Wild-Harvested Seaweed Soap

Normale prijs $ 3.50
Normale prijs Aanbiedingsprijs $ 3.50
Aanbieding Uitverkocht
Inclusief btw.

Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Wild-Harvesed Seaweed Soap imeungwa na unga asilia wa Mwani (Seaweed) uliyovunwa kwa mkono na vikundi vya kina mama Zanzibar, na ni 100% Asilia iliyotengenezwa kwa mkono. Unaponunua bidhaa hii ya Mwani, unawawezesha kina mama wanaovuna mwani kujikimu katika kujiongezea kipato chao katika Uchumi wa Buluu. Sabuni hii haichubui ngozi na inafaa sana kwa ngozi za aina zote. Tumia Sabuni ya Mwani kwani sabuni hii imesheheni minerali zote zinazopatikana baharini ambazo husaidia sana kutakatisha ngozi ya uso na mwili wako, kuondoa makunyanzi usoni na michirizi mwilini na pia kupendezesha ngozi iliyofubaa, kuimarisha na kuifanya ngozi kuwa nyororo.

 

Sabuni ya LuvToch Zanzibar Wild-Harvesed Seaweed Soap imetengenezwa maalum kwa kila aina ya ngozi na ina upole wa kutosha kwa ngozi nyeti. Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Wild-Harvested Seaweed ina uhodari wa kuilinda na kuilainisha ngozi yako kuwa soft hasa kwa wanawake na vijana – inaweza kutumika kama sabuni ya uso, kuogea mwili mzima au kwa kunyolea ndevu kwa wanaume. Made in Zanzibar!

Alle details bekijken