Skip to product information
1 of 4

LuvTouch Zanzibar Clove Soap

LuvTouch Zanzibar Clove Soap

Regular price $3.50
Regular price Sale price $3.50
Sale Sold out
Tax included.
Anza siku yako kwa marashi ya Karafuu yaliyomo kwenye sabuni ya kuoga ya LuvTouch Zanzibar Clove Soap. Karafuu imetumika karne nyingi zilizopita, ina faida nyingi za tiba kwa afya na ngozi, ndiyo sababu ni maarufu katika uwanja wa dawa na tiba mbadala. Harufu ya Karafuu huchochea akili tena ni kiungo cha ajabu, husaidia mwili na huimarisha ngozi kwani hata ikitumika mara kwa mara huboresha mfumo wa kinga ya ngozi yako, pia ni antioxidant na mara mbili kama mpiganaji wa bakteria na antimikrobiali. Sabuni hii hufaa kwa kupunguza ukavu, jeraha, mba, maambukizi ya vimelea kama mguu wa wanariadha, vipele vya joto, miguu yenye harufu mbaya, na magonjwa mengi ya ngozi. Sabuni ya Karafuu ya LuvTouch inafaa pia kwa watu wenye chunusi kwani husaidia kwa asililimia kubwa kuondoa chunusi sugu ambazo husababishwa na bakteria hivyo kutumia sabuni ya antibacterial iliyotengenezwa na Karafuu itakupa manufaa. 
Sabuni ya LuvToch Zanzibar Clove Soap imetengenezwa maalum kwa kila aina ya ngozi na ina upole wa kutosha kwa ngozi nyeti. Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Clove Soap ina uhodari wa kuilinda na kuilainisha ngozi yako kuwa soft hasa kwa wanawake na vijana – inaweza kutumika kama sabuni ya uso, kuogea mwili mzima au kwa kunyolea ndevu kwa wanaume. Made in Zanzibar!
View full details