LuvTouch Cocoa Butter Hand & Body Cream
LuvTouch Cocoa Butter Hand & Body Cream
Prix habituel
$14.00
Prix habituel
Prix promotionnel
$14.00
Prix unitaire
/
par
Share
SIAGI MWALI YA KAKAO (Organic Cocoa Butter) ni mafuta ya mgando yanayotengenezwa kwa mkono kutokana na zao la Kakao linayolimwa hapa hapa Tanzania. Mafuta haya ya mwili ni PURE Organic Cocoa Butter na imekuwa moja ya bidhaa "lazima uwe nazo" katika bidhaa za utunzaji wa ngozi yako.
Sifa zake ni nyingi lakini hizi hapa kwa uchache;
1. Inazuia ukavu wa ngozi na kuchanika
2. Inapenya kwa haraka na urahisi kwenye ngozi na huduma kwa SAA 48
3. Imetengenzwa kwa mikono Zanzibar
4. Inapambana na dalili za kuzeeka
5. Hutuliza kovu la kuungua, vipele na maambukizi ya ngozi
6. Husaidia midomo iliyokauka
7. Inazuia na kuondoa alama za michirizi (stretch marks)
8. Inalainisha ngozi
9. Huwianisha Ngozi
Siagi ya Kakao ni salama na safi kwa aina zote za ngozi na inafaa zaidi kwa ngozi kavu.
MATUMIZI Chota kiasi kidogo na kidole kisha Paka kama mafuta ya ngozi kila siku. Mazuri sana kwa uso, mwili na nywele. Made in Zanzibar!
Afficher tous les détails