Skip to product information
1 of 4

LuvTouch Zanzibar Black Soap

LuvTouch Zanzibar Black Soap

Regular price $ 3.50
Regular price Sale price $ 3.50
Sale Sold out
Tax included.
Color
Size
Style
Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Organic Zanzibar Black Soap imeungwa na mkaa wa kifuu cha nazi, karafuu na mdalizasini zinazolimwa Zanzibar.  Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Zanzibar, ni sabuni ya asili kama yote! Imetengenezwa kwa mkono na Sabuni hii yenye rangi nyeusi ina faida nyingi ukilinganisha na sabuni zilizotengenezwa kibiashara. Mojawapo ya faida katika utumiaji wa sabuni hii ni kurudisha hali ya ngozi zenye shida kuwa nyororo kama vile kuondoa alama za chunusi, na madao meusi na kuipa ngozi muonekan wa ujana.
Faida zingine za sabuni hii ni pamoja na viungo vya asili kutoka Zanzibar ambazo hufanya kazi zaidi ya kulainisha ngozi yako kwani harufu yake nzuri na viungo hivyo ni chakula tosha ya kukazisha, kutakatisha na kupendezesha ngozi yako!
Sabuni hii nyeusi ya LuvTouch Zanzibar imeungwa mafuta mwali ya nazi. Mchanganyiko wa mafuta mwali ya nazi kwenye sabuni hii huzuia uchochezi na ina antioxidants ambayo inalinda ngozi yako kutokana na uharibifu wa mionzi ya jua (UV) na inazuia kuzeeka kwa ngozi.
Sabuni ya Zanzibar Black Soap imetengenezwa maalum kwa kila aina ya ngozi na ina upole wa kutosha kwa ngozi nyeti. Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Manjano ina uhodari wa kuilinda na kuilainisha ngozi yako kuwa soft hasa kwa wanawake na vijana – inaweza kutumika kama sabuni ya uso, kuogea mwili mzima au kwa kunyolea ndevu kwa wanaume. Made in Zanzibar!
View full details