Skip to product information
1 of 4

LuvTouch Zanzibar Cinnamon Soap

LuvTouch Zanzibar Cinnamon Soap

Regular price $ 3.50
Regular price Sale price $ 3.50
Sale Sold out
Tax included.
Title
Size
Color
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Cinnamon Soap imeungwa na unga asilia wa Mdalasini (Cinnmon) na inafaa sana kwanza aina zote. Tafiti za Kisayansi zimeshathibitisha kwamba asilimia 99.9 ya virusi na bakteria haviwezi kuishi palipo mdalasini. Hivyo inaifanya kuwa silaha na kinga ya bakteria na antiviral pia. Tumia Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Cinnamon Soap ni sabuni nzuri inayozuia Chunusi, matatizo ya ngozi na kulainisha ngozi yako. Huimarisha ngozi. Sabuni yetu imeungwa mdalasini 100% Asilia inayolimwa Zanzibar. 
Sabuni ya LuvToch Zanzibar Cinnamon Soap imetengenezwa maalum kwa kila aina ya ngozi na ina upole wa kutosha kwa ngozi nyeti. Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Cinnamon ina uhodari wa kuilinda na kuilainisha ngozi yako kuwa soft hasa kwa wanawake na vijana – inaweza kutumika kama sabuni ya uso, kuogea mwili mzima au kwa kunyolea ndevu kwa wanaume. Made in Zanzibar!
View full details