Skip to product information
1 of 4

LuvTouch Zanzibar Manjano Soap

LuvTouch Zanzibar Manjano Soap

Regular price $ 3.50
Regular price Sale price $ 3.50
Sale Sold out
Tax included.
Title

Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Manjano imeungwa na unga asilia wa Manjano (Turmeric) na inafaa sana kwanza aina zote. Sabuni ya Zanzibar Manjano hukinga ngozi yako na bakteria zinazo sababisha kupatwa na chunusi na pia husaidia kuondoa madoa meusi yaliyoachwa na chunusi. Kwa karne na karne, mabibi na mama zetu walikuwa wakitumia unga wa Manjano wakichanganya na maji kidogo na kupaka kwenye ngozi kutibia matatizo ya ngozi zao hasa chunusi. Pia unga wa Manjano mpaka hivi leo hutumika katika kumsinga bi harusi mtarajiwa ili kupata ngozi nyororo na yenye mvuto siku chache kabla ya kuolewa.

 

Sabuni ya Zanzibar Manjano imetengenezwa maalum kwa kila aina ya ngozi na ina upole wa kutosha kwa ngozi nyeti. Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Manjano ina uhodari wa kuilinda na kuilainisha ngozi yako kuwa soft hasa kwa wanawake na vijana – inaweza kutumika kama sabuni ya uso, kuogea mwili mzima au kwa kunyolea ndevu kwa wanaume. Made in Zanzibar!

View full details