Pular para as informações do produto
1 de 6

Seaweed Soap

Seaweed Soap

Preço normal $2.00
Preço normal Preço promocional $2.00
Promoção Esgotado
Tributo incluído.
Title
Refasha offers a variety of seaweed soaps tailored to different skincare needs:
1. Refasha seaweed baby soap acts as an antibacterial and anti-fungal agent. It effectively treats itchiness, rashes, skin allergies, and promotes smooth, healthy skin.
2. Refasha seaweed skin soap serves as an excellent exfoliant and deep cleanser, detoxifying the skin, combating signs of aging, and promoting overall skin health.
3. Refasha seaweed oily skin soap effectively reduces swelling and inflammation, while also treating acne, pimples, and blackheads.
......

Refasha inatoa aina mbalimbali za sabuni za mwani iliyotengenezwa kwa mahitaji tofauti ya utunzaji wa ngozi:
1. Sabuni ya mtoto ya mwani ya Refasha ni antibacterial na anti-fungal. Inatibu muwasho, vipele, mizio ya ngozi, na kuimarisha ngozi na kuicha yenye afya.
2. Sabuni ya ngozi ya mwani ya Refasha hutumika kusafisha ngozi vizuri, kuondoa uchafu sugu kwenye ngozi, kupambana na dalili za kuzeeka, na kukuza afya ya ngozi kwa ujumla.
3. Sabuni ya ngozi yenye mafuta ya mwani ya Refasha inapunguza uvimbe na vivimbe vya chunusi sugu, wakati pia inatibu chanzo cha chunusi, chunusi na weusi
Ver informações completas