Skip to product information
1 of 1

Geedasa tea masala 150g

Geedasa tea masala 150g

Regular price $2.00
Regular price Sale price $2.00
Sale Sold out
Tax included.
FAIDA 15 ZA CHAI MASALA (TEA MASALA) MWILINI
YA GEEDASA ENTERPRISES
1.Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
2.Husaidia kuzuia shambulio la moyo na Huongeza msukumo wa damu
3. Hushusha lehemu mbaya(cholesterol)
4. Husafisha utumbo mpana
5.Huondoa sumu mwilini 
6. Hupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma
7. Huondoa gesi tumboni 
8. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
9. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
10. Husaidia kuzuia kuharisha
11. Hutibu homa ya kichwa
12. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
13. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis)
14. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana 
15.Huongeza kinga za mwili 
Mtalamu ya food nutrition on line Gerly Daniel Sandor
Share na wengine iwasaidie
View full details