Перейти к информации о продукте
1 из 5

LuvTouch Hair Growth Oil

LuvTouch Hair Growth Oil

Обычная цена $7.00
Обычная цена Цена со скидкой $7.00
Распродажа Продано
Сумма налога включена.
Tumia mafuta ya kukuza nywele ya LuvTouch Hair Growth Oil yaliyosheheni aina Saba (7) ya mafuta ya asili yanayosaidia kukuzana na kutunza nywele zako ziwe zenye afya na mvuto. Nywele safi, zisizokuwa kavu, zisizokacha na tena za bila mba ujue ni kwa 100% zutarefuka! Nywele kavu ndio chanzo kikubwa cha kukatika nywele na mba kichwani ndio chanzo namba moja nywele zako kutorefuka. Nywele ndefu, nzuri na matokeo mazuri zaidi utayapata ukitumia mafuta ya LuvTouch Hair Growth Oil kwa kuwa na uhakika wa nywele maridadi zinazojaa na zisizokatika. 
Kati ya mafuta aina 7 ya asili yaliyoungwa katika mafuta haya ya LuvTouch Hair Growth Oil, moja ni mafuta ya Mnyonyo (Castor) ambayo yana anti-bakteria ya asili, vitamin E na protini kwa wingi yanayosaidia kukuza nywele na kutokatika kwa nywele. Aina ingine ya mafuta asili yaliyomo ni mafuta asili ya Karafuu ambayo yanasaidia kuondoa mba kichwani na kuzuia aina yeyote ya fungus kichwani. Mafuta ya Karafuu husaidia kukuza nywele mara 3 kwa haraka kuliko uotaji wa kawaida, wengi wanayotumia haya wanasema kuwa nywele zao zimekuwa haraka sana.
Aina nyingine 5 zilizobakia za mafuta ya asili yote yaliyomo humu yana Vitamin A, B, D & E, Protini, madini ya Chuma (Iron), Magnesium ambazo husaidia zisikauke, kukakamaa na kukuza nywele pia. Yanalainisha na kung'arisha nywele na hata kuzilinda na uharibifu wa mionzi ya jua, yaani unapta pia SPF. Kwa vile mafuta haya ni asili kabisa hayana aina yeyote ya kemikali sio rahisi kupata allergic reaction.

Kwa matokeo yenye Ubora wa nywele za wateja wetu wengi wanapendekeza kutumia pia Shampoo na Conditiner ya LuvTouch.
Fresh Handmade in Zanzibar!
Просмотреть всю информацию