Skip to product information
1 of 5

Clutch ya kitambaa

Clutch ya kitambaa

Regular price $36.00
Regular price $0.00 Sale price $36.00
Sale Sold out
Tax included.

Begi hili dogo la msalaba limetengenezwa kwa kitambaa cha ubora wa juu na Fay Fashion Tanzania. Ni muhimu sana unapotoka nje kufanya matembezi na hauitaji vitu vingi na wewe. Unaweza kutumia begi kubebea vifaa vyako kwenda shuleni, kolagi, ofisini au hafla mbalimbali kama vile hafla za kanisa na harusi. Bei: 55,000/-

View full details