Skip to product information
1 of 1

Geedasa chai masala 150g

Geedasa chai masala 150g

Regular price $2.00
Regular price Sale price $2.00
Sale Sold out
Tax included.
FAIDA 15 ZA CHAI MASALA (TEA MASALA) MWILINI
YA GEDASA ENTERPRISES
1.Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
2.Husaidia kuzuia shambulio la moyo na Huongeza msukumo wa damu
3. Hushusha lehemu mbaya(cholesterol)
4. Husafisha mpana
5.Huondoa sumu mwilini
6. Hupunguza mishtuko kwenye ufungaji mpana na tumbo kuunguruma
7. Huondoa gesi tumboni
8. Husaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
9. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
10. Husaidia kuzuia kuharisha
11. Hutibu homa ya kichwa
12. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
13. Husaidia mazoezi homa ya baridi yabisi (husaidia kupunguza kuvimba kwa yabisi)
14. Husaidia uchovu unaotokana
15.Huongeza kinga za mwili
Mtaala wa lishe kwenye mtandao Gerly Daniel Sandor
Share na wengine iwasaidie
View full details