Skip to product information
1 of 5

LuvTouch Cocoa Butter Mkono & Cream ya Mwili

LuvTouch Cocoa Butter Mkono & Cream ya Mwili

Regular price $ 14.00
Regular price Sale price $ 14.00
Sale Sold out
Tax included.
SIAGI MWALI YA KAKAO (Organic Cocoa Butter) ni mafuta ya mgando yanayotengenezwa kwa mkono kutokana na zao la Kakao linalolimwa hapa hapa Tanzania. Mafuta haya ni kazi ya PURE Organic Cocoa Butter na imekuwa moja ya bidhaa "lazima uwe nazo" katika bidhaa za utunzaji wa ngozi yako.

Sifa zake ni nyingi lakini hizi hapa kwa uchache;
1. Inazuia ukavu wa ngozi na kuchanika
2. Inapenya kwa haraka na urahisi kwenye ngozi na huduma kwa SAA 48
3. Imetengenzwa kwa mikono Zanzibar
4. Inapambana na dalili za kuzeeka
5. Hutuliza kovu la kuungua, vipele na maambukizi ya ngozi
6. Husaidia midomo iliyokauka
7. Inazuia na kuondoa alama za michirizi (stretch marks)
8. Inalainisha ngozi
9. Huwianisha Ngozi

Siagi ya Kakao ni salama na safi kwa aina zote za ngozi na zaidi kwa ngozi kavu.

MATUMIZI Chota kiasi kidogo na kidole kisha Paka kama mafuta ya ngozi kila siku. Mazuri sana kwa uso, mwili na nywele. Imetengenezwa Zanzibar!
View full details